Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.
Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.
Tuna lengo la kutoa huduma bora zitakazowezesha kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jeshi la Polisi la Tanzania lilianzishwa rasmi 25 August 1919 kwa tangazo la Serikali ya Kiingereza lililotoka Gazeti la Serikali No.Vol.1 No.21-2583 kwa wakati huo likaitwa Jeshi la Polisi Tanganyika.
Makao Makuu ya Jeshi hilo kulinga na natangazo hilo yalikuwa Wilayani Lushoto Mkoani Tanga chini ya uongozi wa Major S.T Davis.
Dawati la kuzuia ukatili wa kijinsia, wanawake na watoto
Umiliki, Uingizaji na Upitishaji na Utoaji wa silaha Tanzania
Jeshi la Polisi kupitia mtandao wa Polisi wanawake TPF-NET, ndio wenyeji wa mkutano wa umoja polisi wanawake duniani kanda ya Afrika. Mkutano utahusisha wanawake kutoka taasisi zote za ulinzi na usalama Tanzania.
Wengine ni wawakilishi kutoka nchi za Afrika.
Amet donec massa mauris Dolor vel nunc quam