Polisi mkoani Dodoma inawashikilia watu 10 kwa tuhuma za uhalifu wa kimtandao na kuwaibia watu. Kamanda wa Polisi mkoani humo Gilles Muroto amesema watuhumiwa hao…