Polisi mkoani Dodoma inawashikilia watu 10 kwa tuhuma za uhalifu wa kimtandao na kuwaibia watu

Polisi mkoani Dodoma inawashikilia watu 10 kwa tuhuma za uhalifu wa kimtandao na kuwaibia watu. Kamanda wa Polisi mkoani humo Gilles Muroto amesema watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na laini nyingi za simu walizosajili na kufanyia uhalifu wao

Related Posts