Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam atao taarifa ya kupotea kwa Raphael Ongangi raia wa Kenya

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema taarifa zilizotolewa na Zitto Kabwe kuhusu mahali alipo Raphael Ongangi raia wa Kenya anayedaiwa kutekwa Juni 24 ni taarifa za mitandaoni na wao hawafanyii kazi mambo ya mitandao. 

Related Posts