Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, amekutana na kufanya kikao cha utendaji cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi Dar Es Salaam kwa lengo la kujadili mambo mbalimbali ikiwemo utendaji kazi, ufanisi, mafanikio na changamoto za Jeshi hilo.