Uzinduzi wa Nyumba za Polisi Geita

  • Home
  •  / 
  • Taarifa
  •  / 
  • Uzinduzi wa Nyumba za Polisi Geita

Uzinduzi wa Nyumba za Polisi Geita

Inspecta Jenerali wa Polisi ,anawakaribisha kwenye sherehe ya ufunguzi wa nyumba za makazi ya askari 20 eneo la Magogo Mkoani Geita ambazo zinawakilisha nyumba  nyingine 94 zilizo mikoa mbalmbali nchini.

Tukio hilo litafanyika Mkoani tarehe 15.07.2019 ambapo mgeni rasmi ni Mhe Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Related Posts