IGP Sirro akutana na kuzungumza na Wanafunzi kutoka Chuo cha Polisi Korea Kusini, walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar Es Salaam.