IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI ZANZIBAR NA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema hali ya usalama katika visiwa vya Zanzibar imezidi kuimarika kutokana na ushirikiano uliopo kati ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wananchi wa visiwani humo.

IGP Sirro ameyasema hayo leo wakati akiwa katika ziara ya siku moja visiwani humo ambapo amekagua miradi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari pamoja na kutembelea eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Kiashange, Kaskazini unguja.

Related Posts