MKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI CP ROBERT BOAZ AFUNGUA MKUTANO WA 16 WA WAKUU WA INTERPOL(NCBs) WA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA.

MKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI CP ROBERT BOAZ AFUNGUA MKUTANO WA 16 WA WAKUU WA INTERPOL(NCBs) WA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA.

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol  (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki katika Ukumbi wa AICC, Arusha.(Picha na Jeshi la Polisi)

Washiriki wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo. (Picha na Jeshi la Polisi).

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akiwa katika picha ya  pamoja na Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (Picha na Jeshi la Polisi)

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akisalimiana na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo (CP), Liberatus Sabas mara baada ya kufungua Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (kushoto kwake) ni Mkuu wa Interpol Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Daniel Nyambabe. (Picha na Jeshi la Polisi)

Related Posts