IGP AFUNGUA VIKAO VYA KAMATI TENDAJI KWA NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA. VIKAO HIVYO HUFANYIKA KABLA YA MKUTANO MKUU (EAPCCO AGM) UTAKAOFUNGULIWA SEPT 16, 2019.

Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro akitoa hotuba ya ufunguzi wa vikao vya Kamati Tendaji (Technical Committee) zinavyohusisha Wakurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Nchi za Mashariki mwa Afrika. Picha na Jeshi la Polisi.

Wajumbe wa Vikao vya Kamati Tendaji (Technical Committee) zinavyohusisha Wakurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Nchi za Mashariki mwa Afrika wakimsikiliza Inspekta Jenerali wa Polisi wakati wa akitoa hotuba ya ufunguzi wa vikao hivyo. Picha na Jeshi la Polisi.

 

 

Related Posts