IGP SIRRO AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA POLISI MAKAO MAKUU, MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA NA VIKOSI JIJINI DAR ES SALAAM.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro  ( katika) akiwa na Makamishna nane (8)wa Jeshi la Polisi wakati wa ufunguzi wa  kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Makao makuu na Makamanda wa Polisi wa mikoa na Vikosi unaofanyika Bwalo la Maafisa wa Polisi  Oysterbay, Septemba 24 hadi 27, 2019 Jijini Dar es salaam.

Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Mohamed Hassan Haji (Katika) akifutilia hotuba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini wakati wa ufunguzi wa  kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Makao makuu na Makamanda wa Polisi wa mikoa na Vikosi unaofanyika Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay, Septemba 24 hadi 27, 2019  Jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Liberatus Sabas ( kulia) Kamishina wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu , CP Benedict Wakulyamba.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro (katika) akiwa  katika picha ya pamoja na Makamishna pamoja na Makamanda wa Polisi wa mikoa na vikosi wakati wa ufunguzi wa  kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu na Makamanda wa Polisi wa mikoa na Vikosi uliofanyika Bwalo la Maafisa wa Polisi  Oysterbay, Septemba 24 hadi 27, 2019 Jijini Dar es salaam.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro  akitoa hotuba ya ufunguzi kwa Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi wakati wa ufunguzi wa  kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu na Makamanda wa Polisi wa mikoa na Vikosi uliofanyika Bwalo la Maafisa wa Polisi  Oysterbay, Septemba 24 hadi 27, 2019 Jijini Dar es salaam.

Related Posts