Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma

Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, SACP David Misime, akinawa mikono kabla ya
kuingia ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma 26/03/2020,
kuendelea na majukumu yake, ikiwa ni njia moja wapo ya kufanya mfano kwa
vitendo na kufuata maelekezo yote yaliyotolewa na viongozi wa Kitaifa na
wataalamu wa afya ili kujikinga na virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID –19).


Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, SACP David Misime, akipima joto la mwili
kabla ya kuingia ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma

Mkurugenzi wa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, akitoa elimu kuhusiana na
kuboresha mfumo wa kumbukumbu za utumishi kwa Makamishna, maofisa na

askari wa vyeo mbalimbali 24/03/2020

.

Related Posts