Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (wapili kulia) akitumia darubini kuangali wakati alipofanya ziara ya ukaguzi eneo la uwanja wa mbinu za medani

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (wapili kulia) akitumia darubini
kuangali wakati alipofanya ziara ya ukaguzi eneo la uwanja wa mbinu za
medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, 06/03/2020,
IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akizungumza na Maofisa wa vyeo mbalimbali (hawapo pichani) wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Shule ya Polisi Moshi iliyopo mkoani Kilimanjaro, 06/03/2020, kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Hamis Hamduni na kushoto ni Kaimu Mkuu wa shule hiyo ya Polisi ACP Omar K. Omar.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya askari katika eneo la FFU Oljoro Kata ya Muriet jijini Arusha, anaye shuhudia kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Wadau wengine wanaowezesha mradi huo

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Nchi za Mashariki mwa Afrika baada ya kufungua mkutano wa siku mbiliĀ  ambao utakuwa na Vikao vya Kamati Tendaji vitakavyojadili masuala mbalimbali ikiwemo utaalamu wa namna ya kupambana na ugaidi, na uhalifu unaovuka mipaka.

Related Posts