Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.

Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza
Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP
Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa
mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwaajili ya kuimalisha Ulinzi katika
mpaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.(PICHA NA JESHI LA POLISI)

Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akikagua moja
ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika Operesheni ya kuimalisha
ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji baada ya Nchini humo
kuvamiwa kwa kambi za Jeshi na vituo vya Polisi pamoja na Mabenki nchini Msumbiji siku ya tarehe 23/03/2020. (PICHA NA JESHI LA POLISI)


Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akiwatia Moyo
Askari waliopangwa kufanya Doria maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mtwara
baada ya kutokea kwa uvamizi wa vituo vya Polisi, Kambi za Jeshi na
Mabenki huko nchini Msumbiji. (PICHA NA JESHI LA POLISI)

Related Posts