Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa 31 wa makosa mbalimbali

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa 31 wa makosa mbalimbali ikiwemo kusafirisha viroba 81 vya bangi, lori la mafuta lililokuwa likisafirisha bangi hiyo yenye uzito wa kg 67 misokoto 473 ya bangi na silaha moja aina ya Rifle.

Related Posts