“Sitaki kusikia habari ya ujambazi”IGP Sirro akizungumza na Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma jana Nyakanazi mkoani Kagera kwenye kikao kazi…