Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 18/05/2021 akifungua kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi kilichopo Kurasini, Dar es salaam,


Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 18/05/2021 akifungua kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi kilichopo Kurasini, Dar es salaam, hafla ambayo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Khamis Chilo, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na usalama pamoja na wageni wengine wakiwemo wananchi.

Related Posts