Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akipokea msaada wa magari mawili kutoka serikali ya Ujerumani

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akipokea msaada wa magari mawili kutoka serikali ya Ujerumani, magari ambayo yataliwezesha Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake wa ufanisi na haraka hususani kwenye operesheni mbalimbali zinazoendelea kufanyika nchini.

Related Posts