DCI MSTAAFU ROBERT BOAZ AAGWA KWA HESHIMA

Matukio mbalimbali pichani ya kionesha namna Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini Kamishna Mstaafu Robert Boaz akiagwa kwa gwaride maalum la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake baada ya kumaliza utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria, hafla ya kumuaga ilifanyika katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini, Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.

DCI Mstaafu Robert Boaz akiongea na waandishi wa habari
Wakuu wa vyombo vya usalama wakiwa katika picha ya pamoja na IGP Sirro pamoja na DCI Mstaafu Robert Boaz Katika chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali wa jeshi la polisi na vyombo vya ulinzi na usalama nchini wakifuatilia shughuli ya kumuaga DCI Mstaafu Robert Boaz.

Related Posts