UFUNGUZI WA OFISI YA KAMANDA SINGIDA

Matukio mbalimbali pichani yakimuonesha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akifungua Mradi wa Majengo ya Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa na Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia OC FFU katika Mkoa wa Singida. Hafla ya ufunguzi wa Mradi wa majengo hayo ilifanyika Agosti, 30, 2021 na Mradi huo unakadiliwa kugharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1.3.

Related Posts