Rais Afungua Kikao Kazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla (wa kwanza kulia waliokaa) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maofisa wa Polisi Wanawake baada ya Mhe. Rais kufungua Kikao Kazi cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu, Makamanda wa Mikoa na Vikosi kilichofanyika jijini Dar es salaam Agosti 25, 2021.

Related Posts