Kukamatwa kwa Silaha Arusha

Kamanda wa Polisi mkoani Arusha ACP Justine Masejo, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo limefanikiwa kupata silaha moja aina ya AK 47 ikiwa na risasi 10 ndani ya magazine iliyokuwa imetelekezwa na mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina la John Ghakwa mkazi wa kijiji cha Jema ambaye anatuhumiwa kufanya matukio mbalimbali ya kihalifu

Related Posts