IGP Sirro akutana na IGP wa Congo na kukubaliana kumaliza uhalifu hasa ule unaovuka mipaka

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akiwa na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Congo IGP Dioedonme Bahigwa ambaye amefanya ziara ya kikazi nchini Tanzania kwa lengo la kubadilishana uzoefu hasa kuhusu Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika EAPCCO ambapo IGP wa Congo atakabidhiwa Uenyekiti wa Shirikisho hilo Oktoba 14, 2021 uko nchini Congo kutoka kwa Mwenyekiti wa sasa IGP Sirro anayekwenda kumalizia uongozi wake ndani ya shirikisho hilo aliloliongoza kwa muda wa miaka miwili

Related Posts