MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKABIDHIWA VIFAA

Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vitakavyorahisisha utendaji kazi wa  Jeshi hilo hasusani kwenye masuala ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu. Serikali ya Marekani imekabidhi vifaa hivyo vya kijeshi ikiwa ni kuelekea miaka 60 ya ushirikiano wa pamoja wa Kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili Marekani na Tanzania.

Related Posts