HABARI KUTOKA MKOANI RUKWA

Koplo Rahel akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mwenge iliyopo mkoani Rukwa, ambapo jumla ya wanafunzi 180 wamepata elimu kuhusiana na madhara ya ukatili wa kijinsia, ndoa za utotoni na mimba katika umri mdogo, elimu waliyoipata itasaidia katika kuwajengea ufahamu wa mambo, kujitambua na kutambua aina za ukatili na kuziripoti.

Related Posts