MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE

Mkuu wa Dawati la Jinsia  na Watoto, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Maria Nzuki, akiwa na wadau mbalimbali wa kulinda haki ya mtoto wa kike pamoja na baadhi ya wanafunzi wa kike wanaosoma shule za sekondari wilayani Sengerema mkoani Mwanza katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike Iliyoadhimishwa Oktoba 11, 2021

Related Posts