Kamishna wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamiiwa Jeshi la Polisi Dkt. MussaA.Mussa amezindua rasmi kituo cha Polisi Mbande kilichopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma, kituo hicho chenye hadhi ya daraja…