Polisi mkoa wa Mbeya inawashikilia watuhumiwa wawili wakazi wa Kapyo Wilayani Mbarali mkoa humo baada ya kukutwa na nyara za Serikali

Polisi mkoa wa Mbeya inawashikilia watuhumiwa wawili wakazi wa Kapyo Wilayani Mbarali mkoa humo baada ya kukutwa na nyara za Serikali ambazo ni Vipande saba vya Meno ya Tembo na kipande cha ngozi ya Fisi maji.Vipande hivyo vilikutwa katika moja ya nyumba ya watuhumiwa hao baada ya Polisi kupata taarifa za siri.Pichani ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich  Matei, akionesha Vipande hivyo.

Related Posts