Kutoka Mkoa wa Iringa

Wawakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala ya Wanawake (UN WOMEN) Elina Kervinen na Clarence Kipobota, wakiwa wameambatana na Mwendesha Makelemo, mjumbe kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, walipotembelea Kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Iringa kwa lengo la kuona mafanikio na changamoto wanazokabiliana nazo wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku hasa upande wa dawati la jinsia na watoto mkoani humo na kuona namna Jeshi la Polisi kupitia dawati hilo la jinsia na watoto wanavyoshirikiana na Idara au Taasisi nyingine ikiwemo Ustawi wa Jamii.

Related Posts