kikao kazi cha kujadili Uanzishwaji wa Maabara ya Kikanda ya Uchunguzi wa Makosa ya Mtandao kilichofanyika Novemba 17, 2021 katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Kamishna wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii (CP) Dkt. Mussa A. Mussa, wakati akifungua kikao kazi cha kujadili Uanzishwaji wa Maabara ya Kikanda ya Uchunguzi wa Makosa ya Mtandao kilichofanyika Novemba 17, 2021 katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

Related Posts