UFUNGAJI WA KIKAO CHA DAWATI

Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wakati akifunga kikao cha Maafisa, Wakaguzi na askari wa kike wa vyeo mbalimbali, kikao ambacho kilijadili kitabu cha Mwongozo wa kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto, kilichofanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia 18 – 19 Novemba 2021 jijini Arusha

Related Posts