MKUTANO WA MAAFISA WANANDHIMU, WAKUU WA USALAMA BARABARANI NA WAHASIBU WA POLISI

Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi wakiwa katika mkutano wao ulioanza leo Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Christopher Kadio akisalimiana na Maofisa Wakuu wa Polisi kabla ya kufungua Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Christopher Kadio akizungumza wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi

Kamishna wa Fedha na Lojistiki Hamad Hamis Hamad akizungumza wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi

Related Posts