IGP Sirro akihudhuria mkutano Mkuu wa Interpol Nchini Uturuki

Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya JinaiĀ  Nchini (DCI) Camilius Wambura na Mkuu wa Interpol Tanzania SACP Gemin Mushi waliposhiriki katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Polisi wa Kimataifa – Interpol ulioanza rasmi leo 23 – 25 Nov 2021 uko Instanbul nchini Uturuki.

Related Posts