Leo Disemba 23, 2021Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amehitimisha rasmi Kozi ya Uongozi Mdogo Ngazi ya Cheo cha Koplo wa Polisi Soma zaidi
Mwenyekiti wa Ushirika wa Chama cha kukopa na kuweka Akiba, Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu wa Jeshi la Polisi, CP BENEDICT WAKULIYAMBA leo tarehe Soma zaidi
Na A/INSP Frank Lukwaro Wananchi wametakiwa kuwafichua watu wanaofanya vitendo vya ukatili wa Kijinsia hususani kwa Wanawake na Watoto ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria Soma zaidi
CPL Mwajabu Mzee kutoka Mkoani Kilimanjaro akitoa elimu kwa Wasafiri wa Treni ikiwa ni muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ambapo Watendaji Soma zaidi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro Disemba 3, 2021 ameongoza kikao cha Utendaji kazi cha Maofisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi Soma zaidi
Matukio mbalimbali Pichani yakionesha namna Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga likiendelea kutoa elimu kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za jiji hilo kuhusiana na madhara Soma zaidi
Serikali imesema itaendelea kuboresha na kujenga majengo mbalimbali ikiwemo majengo ya kutolea huduma ya Jeshi la Polisi nchini pamoja na jitihada mbalimbali zinazoendelea kufanyika ikiwa Soma zaidi