WATENDAJI DAWATI LA JINSIA NA WATOTO LA POLISI WATOA ELIMU KWENYE TRENI

CPL Mwajabu Mzee kutoka Mkoani Kilimanjaro akitoa elimu kwa Wasafiri wa Treni ikiwa ni muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ambapo Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamesafiri na treni kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wasafiri na wafanyabiashara katika stesheni mbalimbali.(Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elieza Hokororo akitoa elimu kwa Wasafiri wa Treni ikiwa ni muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ambapo Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamesafiri na treni kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wasafiri na wafanyabiashara katika stesheni mbalimbali.(Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)

Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Asia Matauka akitoa elimu kwa Wasafiri wa Treni ikiwa ni muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ambapo Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamesafiri na treni kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wasafiri na wafanyabiashara katika stesheni mbalimbali.(Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi
Mkaguzi wa Polisi Mary Haule akitoa elimu kwa Wasafiri wa treni wakati Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto ndani ya Polisi kutoka Tanzania bara na Zanzibar walipokuwa safarini kwa njia ya  treni kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wasafiri na wafanyabiashara katika stesheni mbalimbali ikiwa ni Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinisia.(Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi

Related Posts