Watakiwa kutumia kalamu zao kuelimisha jamii.
Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi Nchini wametakiwa kutumia kalamu zao vizuri ili kuwaelimisha Wananchi mbinu mbalimbali za kubaini na kutanzua uhalifu hapa Nchini.
Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.