Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo 21/01/2021 amekutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon…
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Khamis Hamza Chilo (Mb) akiwasili katika ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Nchini zilizopo…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema makosa ya ajali barabarani nchini yamepungua kwa asilimia 34 kutokana na madereva wengi kuendelea kutii…
SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA 2020. Jeshi la Polisi kupitia Dawati la Jinsia na Watoto lililopo chini ya usimamizi wa Kamisheni ya Ushirikishwaji…
“Sitaki kusikia habari ya ujambazi”IGP Sirro akizungumza na Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma jana Nyakanazi mkoani Kagera kwenye kikao kazi…
Kuelekea maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia,Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege wafanya kwa vitendo
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa 31 wa makosa mbalimbali ikiwemo kusafirisha viroba 81 vya bangi, lori la mafuta lililokuwa likisafirisha bangi hiyo…