
CP Dkt Mussa aagwa Rasmi baada ya kumaliza Utumishi wake Jeshini.
Jeshi la Polisi Nchini limemuaga rasmi aliyekuwa kamishna wa Kamisheni ya ushirikishwaji Jamii ambaye kwa sasa ni Katibu tawala wa Mkoa wa Morogoro kamishna wa
Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.
Jeshi la Polisi Nchini limemuaga rasmi aliyekuwa kamishna wa Kamisheni ya ushirikishwaji Jamii ambaye kwa sasa ni Katibu tawala wa Mkoa wa Morogoro kamishna wa
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura akikabidhi vyeti vya Pongezi kwa Maafisa na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi ambavyo himaya zao
Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi Nchini wametakiwa kutumia kalamu zao vizuri ili kuwaelimisha Wananchi mbinu mbalimbali za kubaini na kutanzua uhalifu hapa Nchini.
IAWPAfricanChapter2023. Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dkt.Richard Msunda akitoa mada katika mafunzo ya Askari wa kike kutoka nchi za Afrika yanayoendelea Jijini
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uganda Herbert Karugaba akisaini kitabu cha wageni leo Julai 5,2023 alipotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho
Picha mbalimbali zikionesha Wananchi wakipata elimu na burudani katika banda la Polisi lililopo katika Maonesho ya Sabasaba
Maafisa Polisi Jamii, Wakaguzi wa Kata/Shehia na Wakufunzi kutoka vyuo vya Polisi nchini, wanaendelea na mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kushirikiana na kufanya kazi na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamadi Massaun akimkabidhi zawadi ya Pikipiki Mkaguzi Kata ya Gambosi iliyopo Mkoani Simiyu Mkaguzi Msaidizi wa