Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Njombe akitoa elimu ya Polisi Jamii kwa vijana waendesha bajaj na pikipiki zaidi ya 500 katika ukumbi wa TURBO Soma zaidi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Simon Maigwa ameongoza mazoezi yaliyohusisha Askari wa Vikosi mbalimbali vya Ulinzi na Usalama Mkoani humo. Mazoezi hayo hufanyika kila Soma zaidi
Na. A/INSP Frank Lukwaro Jamii imetakiwa kutumia vyema mila ya Jando na Unyago ili iweze kuwasaidia Vijana kujitambua na kuwaelekeza katika kutafuta maendeleo ya maisha Soma zaidi
Mratibu wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Makao Makuu ya Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Faidha Suleiman akizungumza na Afisa Ustawi wa Jamii Soma zaidi
Na. Demetrius Njimbwi Jeshi la Polisi mkoani Tabora kutokana na kushirikiana na wananchi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama katika kuzuia, kutanzua na Soma zaidi
Wawakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala ya Wanawake (UN WOMEN) Elina Kervinen na Clarence Kipobota, wakiwa wameambatana na Mwendesha Makelemo, mjumbe kutoka Soma zaidi
Polisi mkoa wa Mbeya inawashikilia watuhumiwa wawili wakazi wa Kapyo Wilayani Mbarali mkoa humo baada ya kukutwa na nyara za Serikali ambazo ni Vipande saba Soma zaidi
Koplo Rahel akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mwenge iliyopo mkoani Rukwa, ambapo jumla ya wanafunzi 180 wamepata elimu kuhusiana na madhara ya ukatili Soma zaidi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM linawashikilia watu 27 kwa tuhuma za kuiba mifuko ya saruji baada ya ajali ya malori mawili eneo la Soma zaidi
Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa tarehe 29.09.2021 limefanya ukaguzi wa mabasi yanayofanya safari katika Mkoa huo pamoja na kutoa elimu kwa madereva na abiria ambapo Soma zaidi