WATU wanne wamejeruhiwa na Chui anayedhaniwa kutoka hifadhi ya Taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) na baadaye kuvamia zahanati ya Huruma wilaya ya Hai mkoa wa Soma zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge, leo Septemba 28, 2021 amezindua rasmi mashindano ya mpira wa miguu kwa vijana wa halmashauri ya Mji Soma zaidi
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea na Operesheni maalum ya kupambana na dawa za kulevya na kufanikiwa kukamata Bangi misokoto 3075 sawa na Kg 5, Soma zaidi
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha ACP Justine Masejo, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo limefanikiwa kupata silaha moja aina ya AK 47 ikiwa na risasi Soma zaidi
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa 31 wa makosa mbalimbali ikiwemo kusafirisha viroba 81 vya bangi, lori la mafuta lililokuwa likisafirisha bangi hiyo Soma zaidi