Kamisheni ya Polisi Jamii

CP FAUSTINE SHILOGILE
CP FAUSTINE SHILOGILE

Kamisheni ya Polisi Jamii ni miongoni mwa kamisheni ndani ya jeshi la Polisi Tanzania, lengo kuu ni kuishirikisha jamii katika kutatua kero za kiusalama.

Majukumu yake ni:

  • Kuwajengea wananchi uwezo wa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kupunguza uhalifu.
  • Kusimamia kazi na masuala yote yanayohusisha dawati la jinsia na watoto.
  • Kuratibu uanzishwaji na uendeshwaji wa kampuni binafsi za ulinzi
  • Kuratibu na kusimamia Polisi wasaidizi