Kamisheni ya Fedha na Logistiki

CP LIBERATUS SABAS
CP LIBERATUS SABAS

Kamisheni ya Fedha na Lojistiki,  ni miongoni mwa kamisheni ndani ya jeshi la Polisi Tanzania, inahusika na kuratibu na kusmamia mipango yote inayohusu usimamizi wa fedha ndani ya Jeshi la Polisi.

Majukumu yake ni:

  • Kuratibu na kuandaa mipango yote inayohusu usimamizi wa fedha ndani ya Jeshi la Polisi.
  • Kuratibu upokeaji, utengenezaji na utunzaji wa silaha na risasi ndani ya Jeshi la Polisi.
  • Kuandaa na kusimamia mipango, bajeti, miradi mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.
  • Kuratibu na kugawanya rasilimali vifaa na fedha ndani ya Jeshi la Polisi.