Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP simon Sirro akiwa kwenye matukio mbalimbali pichani wakati alipofika tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha ambapo pia alijionea zoezi la uwekaji wa alama za mpaka katika pori tengefu na baadae kuzungumza na wananchi na kuwataka kuacha kutumika vibaya na baadhi ya wanasiasa. Picha na Jeshi la Polisi.