IGP Wambura amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela aliyefika Makao Makuu ndogo ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ikiwemo suala la kuendeleza ushirikiano.

Related Posts