Mkutano wa 14 wa kupima utendaji (Performance Review Meeting- PRM) uliofanyika Disemba 28, 2022 katika ukumbi wa Polisi Jamii Jijini Dodoma.
Mkutano huo uliongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura na kuhudhuriwa na Makamishna wa Polisi, Manaibu Kamishna, Wakuu wa Vikosi na Vitengo vya Polisi Makao Makuu .








