Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.

DSC_2305

IGP Wambura azindua rasmi kampeni ya upandaji miti

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Februari 7,2024 Jijini Dodoma amezindua rasmi kampeni ya upandaji miti katika maeneo yanayomilikiwa na Jeshi la Polisi. Uzinduzi huo umefanyika katika kambi ya Polisi Nzuguni na baadaye viwanja vya Polisi eneo la Madenge Hill.

Kampeni hii ya upandaji miti itaendelezwa katika maeneo yote yanayomilikiwa na Jeshi la Polisi nchini. Picha na Jeshi la Polisi

 

Related news