Kamisheni ya Intelijensia ya Makosa ya Jinai

CP CHARLES MKUMBO
CP CHARLES MKUMBO

Kamisheni ya Intelijensia ya makosa ya Jinai,  ni miongoni mwa kamisheni ndani ya jeshi la Polisi Tanzania, inahusika na ukusanyaji na uchakataji wa taarifa mbalimbali za intelijensia ya jinai.

Majukumu yake ni:

  • Kuratibu na kuwekeza mipango ya maendeleo kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa intelijensia ya jinai.
  • Kufanya thathimini ya taarifa za kiintelijesnia zinazohusu uhalifu na uadilifu wa watendaji wa Jeshi la Polisi.
  • Kuweka mipango madhubuti ya ukusanyaji wa taarifa za kiintelijensia.