The fight against crime and criminals especially transnational organized crime requires cooperation of all local and international security stakeholders. In this understanding, TPF has established International Relations section which coordinates communication and cooperation between TPF and foreign partners in matters pertaining to peace and security. During the year under review, the following activities were performed:-

TPF hosted and attended different fora, visits and meetings as follows:

  • From 26″‘ to 29″‘ May, 2014: TPF hosted the Extra Ordinary meeting of RECSA Council of Ministers held at Hyatt Regency. Dar es Salaam;
  • From 2011 to 26″) October, 2014: TPF hosted meeting of EAC Chiefs of Police held at New Africa Hotel, Dar es Salaam;
  • From 20″‘ to 22r1c1November, 2014: TPF attended SARPCO extraordinary meeting in Johannesburg, South Africa whereby Republic of Namibia handled over chairpersonship of SARPCO to Republic of South Africa:
  • From 24th to 29′” August, 2014: TPF attended 16HIEAPCO Annual General meeting in Mombasa, Kenya;
  • From 3″i to Th November, 2014: TPF attended the 83”’ INTERPOL General Assembly Meeting Session held in Monaco. France.

Tanzania Police in UN mission

Historia kwa ufupi juu ya dhana nzima ya Ulinzi wa Amani 

  • Jeshi la Polisi limeanza kuchangia maofisa na Askari kwenye misheni za Umoja wa Afrika na misheni za Umoja wa Mataifa tangu mwaka2004.
  • Nchi Ambazo Jeshi La Polisi Limechangia Maofisa Na Askari Ni Pamoja na Siera Leone, Liberia, Sudan,Commoro, Sudani Kusini
  • Jeshi la polisi limechangia Maofisa na Askari 589 kwenye misheni za Umoja wa Afrika na misheni za Umoja wa Mataifa.

Kazi zinazofanywa na askari polisi kwenye misheni za Ulinzi wa Amani 

  • Kutoa ushauri wa utendaji kazi wa askari polisi wa nchi ilipo misheni ( advisory local police)
  • Kuwajengea uwezo askari wa nchi ilipo misheni juu ya utendaji kazi wa haki bila upendeleo (establishment of a credible local police service)
  • Kusaidia katika shughuli za uchaguzi (elections)
  • Kutoa mafunzo kwa polisi wa nchi misheni ilipo
  • Doria, upelelezi, kusindikiza misafara ya mashirikia ya un
  • Masuala yanayohusu wanawake na watoto (gender issues)
  • Masuala mazima ya haki za binadamu.
  • Uhamasishaji wa elimu kwa jamii (sensitization programs)

Changamoto zilizopo kwenye shughuli za Ulinzi wa Amani

  • Matishio ya kiusalama kwa askari vikiwemo vifo, kutekwa n.k
  • Tamaduni za watu wa mataifa mbalimbali
  • Vyakula
  • Miundo mbinu 
  • Hali ya hewa isiyotabirika
  • Lugha za mawasiliano (language barrier)
  • Ushirikiano wa karibu kati ya polisi wa nchi ilipo misheni na walinzi wa amani.
  • Mabadiliko ya kisiasa ya mara kwa mara
  • Mila potofu zinazopelekea baadhi ya mafunzo kutokufanikiwa katika jamii husika (mfano; fmg & family planning)
  • Ukosefu wa mahitaji ya msaada kwa wakimbizi kwa wakati husika unaopelekea.
  • Upungufu wa ushiriki wa wanawake katika mission na hivyo kupelekea baadhi ya huduma zinazotakiwa kutolewa na wanawake kutokufikia malengo au kutopata ufumbuzi zikiwemo taarifa za siri za matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto.

Female Police in UN Mission

Ushiriki wa polisi wanawake kwenye Ulinzi wa Amani

  • Jeshi la polisi limekuwa likichangia askari wanawake katika operesheni za ulinzi wa amani kama tamko la umoja wa mataifa nambari 1325/2007 linavyozitaka nchi wanachama wa umoja huo katika sera za kusimamia ushiriki wa wanawake katika shuguli za ulinzi wa amani.
  • Mwaka 2010 jeshi lilipeleka askari wanawake 25 kwenye misheni ya darfur na hadi sasa jeshi limepeleka askari wanawake 105 kwenye misheni mbalimbali za ulinzi wa amani duniani.
  • Jeshi la polisi limekuwa likihimiza ushiriki  wa polisi wa kike kwenye masuala ya ulinzi wa amani wamekuwa 
  • Wanawake wamekuwa msaada mkubwa wa kugundua masuala yote yanahusu unyanyasaji wa kijinsia

Tanzania being a member of the United Nations and African Union is responsible to assisting restoration of peace and security worldwide. TPF has made efforts to train her personnel, participate in peacekeeping missions and ensure that TPF officers attend different peacekeeping courses ready to be deployed in various missions.

JEDWALI LA MAAFISA WA POLISI WALIOWAHI KUHUDUMU MISHENI ZA UMOJA WA MATAIFA KUANZIA MWAKA 2005 MPAKA 2019

wdt_ID sn COUNTRY/YEAR/MISSION NO.OF POLICE OFFICERS NO. OF MALE NO.OF FEMALE
sn COUNTRY/YEAR/MISSION NO.OF POLICE OFFICERS NO. OF MALE NO.OF FEMALE

New wpDataTable

wdt_ID sn MISSION NO.OF POLICE OFFICERS NO. OF MALE NO.OF FEMALE
sn MISSION NO.OF POLICE OFFICERS NO. OF MALE NO.OF FEMALE
  • From 23x1 June to 07t” July, 2014:

    TPF organized TOT UN SAAT whereby 12 Police officers were cleared as local SAATtrainers;

  • From 12th to 16th February, 2014:

    TPF screened 174 Tanzania women Police ready to sit for UN SAAT mission examinations

  • From 18 to 21 march 2014

    one Police officer attended training of SADC Formed Police Unit in Angola
  • From 28"' July- 8"' August, 2014

    one Police officer attended training of SADC Formed Police Unit in Angola
  • From 13" to 25"' October 2014,

    13 Police officers attended FIX “ushirikiano imara” exercise in Burundi.