Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai

CP RAMADHAN KINGAI
CP RAMADHAN KINGAI

Kamisheni ya Kurugenzi ya makosa ya jinai,  ni miongoni mwa kamisheni ndani ya jeshi la Polisi Tanzania, inahusika na upelelezi wa makosa yote ya jinai.

Majukumu yake ni:

  • Kusimamia upelelezi wa makosa yote ya jinai.
  • Kuratibu na kusimamia upelelezi wenye weledi katika makosa ya fraud, mtandao, wizi kwa njia ya mitandao.
  • Kuratibu upelelezi wa makosa ya ugaidi na wahalifu wenye msimamo mkali.