Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uganda Herbert Karugaba akisaini kitabu cha wageni leo Julai 5,2023 alipotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho ya 47 ya Biasharaka ya Kimataifa.
Ameamua kutembelea banda la Jeshi la Polisi ikiwa ni kumbukumbu kwake kwani aliwahi kupata mafunzo ya uofisa katika Chuo cha Taaluma ya Polisi (DPA) akiwa mwanafunzi ya kozi Uofisa (Gazetted Officers Course) namba 3 Mwaka 1980.
Picha nyingine akiwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime
